NAIBU WAZIRI MKUU DKT. DOTO BITEKO APONGEZWA BUNGENI
Na Mwandishi Wetu JAMII HURU
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko @biteko akifuatilia kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 27 June, 2025 Bungeni jijini Dodoma.


Comments
Post a Comment