DAR CITY YAFUNZU MICHUANO YA MPIRA YA KIKAPU KUCHEZA FAINALI
Na Mwandishi Wetu JAMII HURU
Timu ya mpira wa Kikapu ya Dar City leo imeandika historia mpya baada ya kufanikiwa kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kufuzu kucheza fainali za BAL 2026 (Basketball African League).
Dar City wamefuzu hatua hiyo baada ya ushindi wa vikapu 92-77 dhidi ya Club Ferroviario ya Msumbiji, Dar City wamemaliza nafasi ya tatu katika hatua ya Elite 16.

Comments
Post a Comment