MAKONDA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE ARUSHA MJINI
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Arusha Mjini, Paul Christian Makonda rasmi amechukua fomu ya uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) jijini Arusha.
Makonda aliyeambatana na mkewe pia amesindikizwa na watu zaidi ya 150,000 wakiwamo viongozi mbalimbali wa CCM Wilaya ya Arusha.


Comments
Post a Comment