GWIJI LA UCHUMI DKT KAHYOZA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MULEBA
Na Mwandishi Wetu JAMII HURU
Leo juni 28 , 2025 , Gwiji la uchumi nchini Dkt Bravius Kahyyoza amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge wa jimbo la Muleba Kusini mkoani Kagera.
Dkt Kayoza ni mmoja wa wataalamu wa uchumi nchini ambaye ameonesha dhamira yake ya kuwapigania wananchi wa Muleba Kusini kupitia uwakilishi wa muhimili wa bunge.




Comments
Post a Comment